May be am missing a point, hebu nidadafulie zaidi. Hao madent wamelawitiwa vyumbani kwao au nje ya hostel? Pili hao vibaka wamepata wapi courage ya kufanya hiyo kitu mbaya wakati madent wanaishi in a mob/group?
Kila room 5 bastola moja ndo mpango mzima, ingekuwa ni marekani kila mwanafunzi angepewa pistol, usicheze na kulawitiwa kaka. Hivi mpaka sasa hivi ni vidume wangapi wameishabikriwa?
Ndio hivyo ziko nje ya main campus kwa sababu main campus kuna uhaba wa hostels na kigamboni ndo eneo linalofikika kiurahisi toka chuo so 80% ya wanafunzi wote wako huku kigamboni kwenye hostels za watu binafsi

Nimekuelewa, nilidhani hili zoezi limefanyika pale main campus..! Sasa hilo ni tatizo kubwa sana ila kwa kuwa case imefika kwa serkali hope both short and long term measures shall be put in place ASAP ikiwa ni pamoja na wanafunzi kupanga kwenye hostel zenye akili..! Kwa hiyo hao wawili waliolawitiwa ndo hao tu au kuna kuna wengine wameliwa na wakaamua kukaa kimya kuepuka aibu.?