Osha vizuri, ukimaliza menya weka kwenye sufuria tia maji kiasi na chumvi kisha funika
baada ya dakika 15 vitakuwa tayari weka kwenye sahani
tayari kwa kuliwa.....
Mkimaliza kula msali kabla ya kulala, mkumbuke pia kulala na nguo, na kila mmoja wenu ahakikishe kuna enough space kuwafanya hamgusani ili kuepuka dhambi ya uzinzi.
labda sijaelewa ...kama ni ya kimwili ni mpaka aje muandaane wote kwa kuchezeana mambo flani bhanaaa ahaa..na kama ni mazingira basi fua mashuka.deki ndani mpikie msosi wa maana...ni hayo tu.