Unbelievable
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 262
- 115
Unataka kwa mujibu wa vitabu vya Dini au katiba au mila na dasturi?
Ni agano la watu wawili wasio ndugu wa damu walioamua kuishi pamoja kama mtu mume na mtu mke......
Siku izi definition inahusisha same sex pia
Siku izi definition inahusisha same sex pia
N=enda
D=ada
O=lewa na
A=kupendae