when it comes to these viruses huwa nashindwa kuelewa what is wrong with them. anyway HPV ni ugonjwa mbaya sana sana na usiombe hata kumwona ndugu yako anaugua ugonjwa huu.
lkn pia sio tu kuanza ngono mapema kunakopelekea hawa virus kuwepo ila kuna scenario kama kufanya ngono na wanaume wengi, severe allergies za mafuta ya ngono ama lubricating gels na aina ya maisha. wengine pia ni genetics.
mara nyingi sana mwanamke mwenye hii hufika mahali hadi akawa na harufu mbaya ya mwili, lord have mercy!!! tujitahidi tu kuepuka predisposing factors. kuna article moja niliwah kausoma hata smoking among women it is a predisposing factor. so women shld stop smoking matumizi ya mavintu wasiyoyajua huko ukeni hasa haya ma gels, kubadili badili aina za condom kuingiliwa na wanaume wengi etc