Hupati HIV Jombaa. Mi ilipasuka condom nilikuwa na push iiiiiinnnnn. Ikazama yoooote ndani. Nikatoa fasta nilaenda kuosha mkuyenge.
Halafu tukaondoka wote kwenda kupima. Ikaonekana yule dada yuko vibaya HIV yake iko wazi kabisa full.
Mi hamna kitu. Nikapima tena baada ya miezi 3 hamna kitu.
Hata mimi nilipata shifa sana ya mawazo sababu nilikuwa nimeoa sasa simutaka nimuambukize wife.
We tulizana ila acha michepuko. Mi nimeacha.