Zinatumika mda gan hizo au doz nsiku ngapikatumie pep kabla ya saa 72
nenda hospitali fastaZinatumika mda gan hizo au doz nsiku ngapi
hizo ni Arv tu hizi za kawaida watakupa umeze kwa siku 28 baada ya hapo utarudi kupima tena kuona hiyo PEP imefanya kazi.Zinatumika mda gan hizo au doz nsiku ngapi
Sasa umekuja JF kufanya nini si ungebaki na mungu kuliko kuja kusumbua watuShindwa sitakaa tumia hayomauchafu namwamini Mungu
hindwa sitakaa tumia hayomauchafu namwamini Mungu
😂 😂 😂 😂 😂 😂Sasa umekuja JF kufanya nini si ungebaki na mungu kuliko kuja kusumbua watu
umeuliza umejibiwa,Mwenyezi Mungu huyo huyo ndio kawapa maarifa wataalam wa afya wamegundua hizo ambazo wewe unaziita uchafu.Shindwa sitakaa tumia hayomauchafu namwamini Mungu
Nahis unaishi kwa shemejiShindwa sitakaa tumia hayomauchafu namwamini Mungu
Ishawah nikuta hii kitu usiombee ila Ngoja wajuzi waje maana una uhakika gani kama huyo mtu anaweza akawa ana maambukizi au umehisi tu?Habari za SAA wana jF nilikua ninashida .Leo asubuhi nimeamka nkajikuta nmetumia mswaki wamwenzangu pasipo kujua sababu inafanana nayeye nimgeni alikuja tuu Jana alafu kutokana namaisha yasasa hakuna kuaminiana Magonjwa mengi ,alafu zaidi Mimi kwenye fizi huoga nkipiga mswaki dam zinatoka naombeni msaada nifanyaje
Hapo wakusaidiwa ni huyo mwenzako..Je umemwambia kuhusu kuchanganya mswaki?Habari za SAA wana jF nilikua ninashida .Leo asubuhi nimeamka nkajikuta nmetumia mswaki wamwenzangu pasipo kujua sababu inafanana nayeye nimgeni alikuja tuu Jana alafu kutokana namaisha yasasa hakuna kuaminiana Magonjwa mengi ,alafu zaidi Mimi kwenye fizi huoga nkipiga mswaki dam zinatoka naombeni msaada nifanyaje
Daaa aisee hii JF imeingiliwa siku hizi ,nahisi tunaishi na watoto humu maana sasa hivi ni rikizoSasa umekuja JF kufanya nini si ungebaki na mungu kuliko kuja kusumbua watu
Halafu ukute mtoa mada yeye ndie muathirika wa HIV pasipokujua,the jamaa wawatu atatumia huo mswaki pasipo kujua kwamba mtoa mada ametumia,na ukute baada yakugundua amechanganya miswaki hakumfahamisha mwenzie,UBINAFSI NAKUTOJALI WENGINEIshawah nikuta hii kitu usiombee ila Ngoja wajuzi waje maana una uhakika gani kama huyo mtu anaweza akawa ana maambukizi au umehisi tu?
Hapo sawa, sasa nendeni nyote mukapime kwa umuhimu tu wakujua Afya zenuNmemwambia naniliutupa
Me
Shindwa sitakaa tumia hayomauchafu namwamini Mungu