Hii taarifa ndo kwanza mbichi kabisa na hizo picha za Serena ni za wiki iliyopita, huoni kama unatakiwa kukaa mkao wa kuifuatilia hii ya leo uone nini kinatokea?
.......................................................... NINAWAOMBA HATA WABUNGE WA CUF/UKAWA KWA JUMLA WALIOPO KWENYE SERIKALI YA MUUNGANO WAJITOE WAACHIE CCM WAENDELEE TAWALA KAMA HILI HALIPATIWI UFUMBUZI WA KIDEMOCRASIA.
Mtazusha sana. Mara Jecha kafuta uchaguzi wa marudio, mara moto wawaka zanzibar, sasa house arrest!!! Kelele za mlango hazimnyimi mwenye nyumba usingizi. Uchaguzi utafanyika tu