Maalim Seif – ‘Under House Arrest’
Edy Riami – Kuwekwa ndani
Nassor Mazrui – Kuwekwa ndani
Hamad Massoud – Kuwekwa ndani
Nani alobaki?
Strategy ya kubana UAMSHO yaelekezwa CUF, ingawa itakuwa kwa muda tu hadi harakati za uchaguzi wa Jecha zitakapokwisha.
Hakuna la kuandika sana zaidi watu wapate maudhui.
Nyerere angekuwepo haya yasingetokeaKwa hali hii, serikali ya CCM haina tofauti na serikali ya Zaire chini ya dikteta Mobuto Seseseko Wanzibanga Kuku wa Kinshasa.
Kwa hali hii, serikali ya CCM haina tofauti na serikali ya Zaire chini ya dikteta Mobuto Seseseko Wanzibanga Kuku wa Kinshasa.
Ndugu jaribu kuweka akiba ya maneno.Watakuwa wamecheza kama pele hao wote ni magaidi, weka ndani haraka.
Angekuwepo hai kina seif wangekua wamepotea siku nyingi sana. Enzi zile ndio ulikua udictator sio sasa.Nyerere angekuwepo haya yasingetokea
Hiyo house arrest ya namna gani na tunaonyeshwa yupo Serena hotelHii ni kwa mujibu wa Mzalendo.net Zanzibar.
taarifa zinasema wengine wanaotakiwa kuwekwa ndani ni
Mh Mazrui
Edy Riyami
Mh Hamad Masoud ambaye leo asubuhi alikamatwa akiwa nyumbani kwake Zanzibar.
Imeelezwa lengo kubwa ni kupisha uchaguzi wa marudio.
stay tuned.
===========
Chanzo: Mzalendo.net
Hiyo house arrest ya namna gani na tunaonyeshwa yupo Serena hotel
anakula kuku kwa mrija?
View attachment 330147
Napitahahaahahhaha...sishangai
Huwezi kuwa unatumia kichwa kuandika hayaWatakuwa wamecheza kama pele hao wote ni magaidi, weka ndani haraka.