Maalim Seif: Muda ukifika nitazungumza

Mwanangu hii itakuwa kama galacticos pale Real Madrid.
 
Julius Mtatiro ana siri nyingi sana za Maalim hata yule mganga wake ambae humsafishiaga nyota huko ungazija Komoro ameshajulikana .

Hapa ndio Mtatiro anapoingia ulingoni maalim anaweza asifikie uamuzi kwa sababu ya ulimi na mikono kuvimba.
Usituletee ramli hapa uchawi peleka Lumumba
 
Mpasuko ki vipi eleza, Chadema ni taasisi haiwezi kupasuliwa na mtu mmoja ingekuwa kupasuka ingepasuka wakati wa ujio wa Lowassa.
 
Sakaya hahakosea kuwa cdm wanamtaka Maalim ili wajiimarishe tu. Mana zenj hawana ushawishi. Ushauri ni maalim kuanzisha chama kipya akiona Cuf hakuna liwalo
Maalimu aanzishe chama kipya? Tanzania?
you are not serions.
 
Hii inaitwa chenga ya mwili.
 
Maalimu aanzishe chama kipya? Tanzania?
you are not serions.
Kwan unafkr wazanzibari wanakipenda Cuf au wampenda Maalim? Akiingia leo ccm yule na dk Shein awe Cuf bas CCM itashind kihalali
 
Dalili ya mnvua ni mawingu, na akili ya kuambiwa ........
Sio tena kuzungumza kuhusu urais wake aliosema atapewa'soon'!!
Wajinga ndio waliwao sefu hapati urais wa zanzibar hata iweje,kwa hiyo hana haja ya kujiunga na chadema kuipa ruzuku,anaweza hata kujiunga na Tadea au chausta atapata wabunge,wawakilishi na na VP
 
Sisi tushawaambia hawa maCCM kuwa "Baada ya Mungu na Ntume, kanafuatia Seif"
 

Kwa CCM, tatizo sio CUF bali ni Maalim Seif. Kwahiyo hata akiamua kuhamia CHADEMA, bado suala la kudhulumiwa ushindi wake liko pale pale. Labda tu kama atakuwa amejipanga kivingine kuhakikisha dhulma haifanikiwi. Kwa upande wa Wazanzibari wao wana angalia Seif yupo chama gani, na hicho chama kitaungwa mkono. Hivyo basi, hii hoja kwamba CHADEMA haina nguvu ZNZ haina mashiko, kwani hata Seif akiamua kuhamia CHAUMMA, bado atashinda urais. Swali linabaki je CCM watampa ushindi wake???
 
In politics you have to be flexible.kuwa na misimamo ambayo hauna followers Ni kupotea katika ulimwengu wa siasa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…