Acha wamfariji na kumpoza poza
huwezi kuelewa kwamba zanzibar sio nchi mpaka ukome kuzungusha mikono, Maalim Seif mwenyewe anajua kwamba Magufuli ndo ananguvu ya kumaliza mgogoro wa zenji wewe unaleta porojo.wew ndio zezeta la ukweli
kama zanzibar sio nchi kwanin wana serikali yao?
acha kujitoa ufahamu,serikali mbili maanake nini?huwezi kuelewa kwamba zanzibar sio nchi mpaka ukome kuzungusha mikono, Maalim Seif mwenyewe anajua kwamba Magufuli ndo ananguvu ya kumaliza mgogoro wa zenji wewe unaleta porojo.
siku katembelee united kingdom au google ndo utaelewa sio kusubilia mbowe aseme jambo au Seif na wewe unalibeba bila kuchambua pumba na mchele. The United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland, commonly known as the United Kingdom (UK)acha kujitoa ufahamu,serikali mbili maanake nini?
Wewe mwenye akili subiri uone kama atafanikiwa? Na ninakushauri urudi tuu ukajifunze tofauti ya nchi na serikali ( maana hata kijiji kina serikali sijui sasa nayo utadai iwe nchi au vp)wew ndio zezeta la ukweli
kama zanzibar sio nchi kwanin wana serikali yao?
Serikali yao !!!!! Nenda UN kama inatammbuliwa !!! Hata wewe unaweza kuamua pale nyumbani kwako ukawa na bendara ya familia, wimbo wa familia, katiba/utaratibu wa familia na uongozi wa familia lakini bado uko chini ya Mwneyekiti wa Serikali ya Mtaa achilia mbali Mwenyekiti wa Kijiji.wew ndio zezeta la ukweli
kama zanzibar sio nchi kwanin wana serikali yao?
Kwa hivo zanzibar ipo chini ya TAMISEMI kama serikali ya kijij ilivyoWewe mwenye akili subiri uone kama atafanikiwa? Na ninakushauri urudi tuu ukajifunze tofauti ya nchi na serikali ( maana hata kijiji kina serikali sijui sasa nayo utadai iwe nchi au vp)
kwahiyo mkuu serikkali yangu itatambuliwa kuwa mtaani kwamba kijiji kina serikali mbili? (yaan yangu & ya kijiji)Serikali yao !!!!! Nenda UN kama inatammbuliwa !!! Hata wewe unaweza kuamua pale nyumbani kwako ukawa na bendara ya familia, wimbo wa familia, katiba/utaratibu wa familia na uongozi wa familia lakini bado uko chini ya Mwneyekiti wa Serikali ya Mtaa achilia mbali Mwenyekiti wa Kijiji.
NDI ndio nini. usojifanye kama sisi tunaijua.Written by makame silima // 14/06/2016 // Habari // Hakuna maoni
Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad, pamoja na aliekua balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Green.
Siku moja tu baada ya maalim na ujumbe wake kuwasili Marekani katika jiji la Washington DC wanaharakati na wanasiasa waliobobea katika ngani za “political science and democracy” wamesema wazi kuwa Seif Sharif Hamad hana “tendency and property” za Kiafrika wala Kiarabu katika fani ya siasa, hayo waliyasema alipokuwa akitambilishwa kwa baadhi ya wajumbe watakaoshiriki katika mazungumzo ya kujadili hali ya siasa Tanzania na ufutaji wa matokeo halali ya uchaguzi wa tarehe 25/10/2015 ambapo Seif Sharif Hamad alishinda uchaguzi huo na NDI walishuhudia uchaguzi huo.
Maalim Seif alimfananishwa na Nelson Mandela wa South Africa, Shimon Perez wa Israel, Jimmy Carter wa marekani, na watu kama Kurlt Warldheim wa UN katibu mkuu wa zamani.
Wakasema angalia yatokeayo Burundi hivi sasa, Kenya, Uganda na kwengineko duniani lakini maalim bado kaweza ku-resist yeye binafsi na kuwatuliza watu wake bila ya kufanya vurugu na wakati huo huo wakitoa haki yao iliyoporwa ambayo inasindikizwa na nchi ya jirani Tanganyika.
Sisi NDI na CSIS tulioutisha mkutano huu tunalipongeza hilo na tunaomba watu wengine wenye migogoro ya aina hii waige mfano huu wa Seif Sharif Hamad na sisi tutakuwa pamoja nao mpaka haki intendeke na ipatikane tukianzia na zanzibar.
Maneno hayo yalisemwa na mmoja wa wakurugenzi wa NDI bwana Peter Craig katika hotel moja hapo Washington.
vipi umekunywa chai kweli au wana wamekulipua na viroba, pole ila jua sisi tunajua ukawa ipo hai hivyo hatua yeyote inayochukuliwa na kiongozi mwandamizi wa ukawa ina baraka zote za muungano huo, punguza ulevi na ujitahidi kufikiri kabla hujaonyesha u baby wako hapa jukwaani
Hehhehe[emoji38] [emoji38] [emoji38] umechinjia bahariniWewe mwenye akili subiri uone kama atafanikiwa? Na ninakushauri urudi tuu ukajifunze tofauti ya nchi na serikali ( maana hata kijiji kina serikali sijui sasa nayo utadai iwe nchi au vp)
well said mkuuAcha wamfariji na kumpoza poza