Maajabu ya Vituo vya Mwendo Kasi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Huwa najiuliza sana hivi vituo kufungwa mlango mmoja

  1. Kwa nini walijenga miwili?
  2. hawaoni kero kubwa ya kuzunguuka kwa abiria/wateja wao
  3. Je hakuna waaolipwa 'hewa' kwa huu mlango wa pili
  4. Hii kero ya foleni si ya kujitakia?
Ongeza
 
Ndio vilivyodizainiwa. Upande mmoja uwe umefungwa.
 
Lengo milango yote iwe na wahudumu na milango yote watu waingie na kutoka! Ubabaishaji! Janja janja na kubana matumizi kusiko na weledi ndio kumetufikisha hapa!
 
Lengo milango yote iwe na wahudumu na milango yote watu waingie na kutoka! Ubabaishaji! Janja janja na kubana matumizi kusiko na weledi ndio kumetufikisha hapa!
truly said
 
Usisahau kipindi cha rain pale kimara maji yanamwagikia waiting areas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…