maajabu ya soka

pera

Senior Member
Jul 19, 2011
148
16
hii imetokea kwe ligi ya mchangani mchezaji alifunga goli akawa anashangilia kwa furaha mbele ya mashabiki gafla wakamuona anatoka nje na kuingia kwenye gari na kuelekea mtaani kushangilia kisha akarudi uwanjani kuendelea kucheza refa alipoona vile akaamua kujipa mwenyewe red card na mechi ikaisha
 
Mkubwa hii ime2lia sasa unasubiri nini kushusha anazawan! (another one pl's)
 

duh,mkuu nimeipenda hii...at least my teeth are teethed!!
 
Hivi hamjawahi ona referee anamtwanga raisemen card ya njano?????
 
Hii imetokea kweli! Mchezaji alikuwa amepewa yelow card, akawa substituted kituko, wakati wa anatoka akavua jezi kabla hajavuka mstari! Akatwangwa yelow nyingine ikawa red mwenzie akashindwa kuingia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…