maajabu ya jf post ujionee.

Mkudisingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
421
Reaction score
123
yani ukidhani eti watakusapoti ulichoandika maweee umeumia watakukandia haooo mpaka ujionee aibu mwenyewe sasa maajabu yanakuja pale ambapo unatarajia kupondwa wao wanakubeba ,sasa usije kutegemea unapost uzi ukajua utajiopolea mikoment yakutosha khaaa hamna lolote watapita vijana wawili watakuchafulia wakati utashangaa na roho yako sasa angalia wenzio kauzi kadogo afu kakijinga micomenti ndwiii mbaka lumbesa sijui kunakujuwana mi sielewi,mfano hai jamaa kajipostia jukwaa la mapenz hoja ya mapenz lakini katukanwa eti anarudisha nyuma maendeleo ya taifa yeye muda wote anawaza mapenzi nk,usishangae akaja hapa akanitukana na mimi tena nayemsaidia yani ni shida humundani hapatabiriki kinanuka muda wowote.nahii sijui watasemaje sasa.......
 

Njoo nikuajiri kwenye project ya kuku wangu kitengo cha masoko ya mayai maana huna kazi.
 
naona vijana wawili washapita ngoja mimi nigeuze!
<======
 

sasa hii technology inatupeleka kubaya..hii device ya mtu kuweza kutumia kutype ukiwa usingizini umeipata wapi na inaitwaje ndugu? slumber-typing, sleep-typing ou FOOLISH-TYPE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…