Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
Ni kwa makusudi wamefanya hivyo! Nafikiri wanataka tuanze kujadili haya matokeo tusahau maovu/ufisadi wao! Makubwa kweli yaan mwenye 'e' tano hafai, ni bora mwenye 'c' moja na 'e' moja!
Naomba ufafanuzi kuhusu madaraja/ divisions za mwaka huu katika matokeo ya f4 2013. Hii kwa sababu kuna watahiniwa wana points sawa lakini divisions zao zinatofautiana. Kwa anayefahamu sababu anisaidie
mfano: Yupi alistahili zero hapa chini?
S3458/0013
F
43
0
[TD="width: 58%"] CIV- 'E' HIST - 'E' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'E' LIT ENGL - 'F' BIO - 'E' B/MATH - 'F'
[/TD]
S3458/0024
F
45
IV
[TD="width: 58%"] CIV- 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
[/TD]
ni kwa nini?
SOURCE NI WEBSITE YA NECTA
Kaka "Majaar" Nimesoma kwa umakini kwa mara nyingine nikagundua hakuna nilichokosea kwani mwandishi hakuwa anafahamu vigezo vilivyotumika na ndio maana akaona kuna mkanganyiko ktk madaraja. Na nilichokifanya mimi ni kumpa hiyo elimu bure kabisa. Kwa hiyo na wewe ni haki yako kuamini kuna mkanganyiko kama alivyoandika au kuchukua elimu hii ya bure niliyoitoa! Vingineyo unaweza kunambia nilipokosea nijirekebishe hili ni jukwa huru bwana!
By the way mbona kuna wengine wamepata Div. 1 pts 17 na wengine Div III pts 17 Hii unajua ni kwa nini eeh?
Hakuna mkanganyiko wowote katika madaraja ya matokeo, isipokuwa ni uelewa duni wa waandishi wetu wa "kisasa". Ili mtu awe na daraja ya nne ni lazima awe na walau "C" moja au "D" mbili katika masomo yote aliyofanya. Chini ya hapo ni division "Five". Mfano: Mwanafunzi aliyepata E katika masomo yote saba atakuwa na pointi 42 huyu atakuwa na div. o. Lakini mwanafunzi aliyepata F masomo sita na C moja atakuwa na pointi 46 ambayo ni Div. 4.
Sasa huyo mwandishi ajaribu kuangalia matokeo ya hizo namba alizoandika kwa kuzingatia vigezo hivyo alafu aje aseme huo mkanganyiko uko wapi
Na mwanafunzi aliye re-sit masomo matatu lakini majibu yametoka ameandikiwa alifanya masomo matano, hiyo nayo imekaa sawa?
Kwa point 17 utapewa Div III kwa kufeli hesabu?
Sina hakika, naomba ujibu tafadhali
.
Hakuna mkanganyiko wowote katika madaraja ya matokeo, isipokuwa ni uelewa duni wa waandishi wetu wa "kisasa". Ili mtu awe na daraja ya nne ni lazima awe na walau "C" moja au "D" mbili katika masomo yote aliyofanya. Chini ya hapo ni division "Five". Mfano: Mwanafunzi aliyepata E katika masomo yote saba atakuwa na pointi 42 huyu atakuwa na div. o. Lakini mwanafunzi aliyepata F masomo sita na C moja atakuwa na pointi 46 ambayo ni Div. 4.
Sasa huyo mwandishi ajaribu kuangalia matokeo ya hizo namba alizoandika kwa kuzingatia vigezo hivyo alafu aje aseme huo mkanganyiko uko wapi
pepo la kiherehere mara oooh div 5 mara oooh div 46 wapi na wapi baba wa taifa angekuwepo asinge kubali uj*n*g mwishoe tuta sikia div 6o.......70.........80.Viongozi wetu washamba tu! Hawajui hata mambo yakufanyia masihara! Sijui wanamapepo?? Mimi hata sielewi kabisa!
Ww ni JUHA,Km akili ni nywele bas nywele zako zimeotea pabaya