Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,111
Kwa elimu yetu hii Bora nipambane tuPamabana mkuu wangu Udaktari hauchukuliwi unapambaniwa mkuu
Na hiyo asilimia 25 hawaitoi Kwa ukamilifu sasaIla Tanzania ndio nchi pekee ambayo watu wa fani za afya wanapewa muda mchache zaidi wa kufanya kazi za kivitendo na kinadharia ni Asilimia 75 VITENDO 25 MWISHO WA siku mtu anshindwa kuwa productive sio kwamba hapendi ila mfumo wa elimu umemradhimu awe ivyo 75 percent class ,25 percentage area of professional,wakati ki sahihi ilitakiwa iwe viceversa
Hii itasaidia Sana na walimu wawe na utayari kuwasaidia wanafunzi sio kuwaambia wao ni vichwa vigumu haitasaidia.Au kumwonesha kwamba yeye ni mjinga Sana katika darasa.Ndyo maana wanafunzi wanaweza kuja kumuua mtu hospitali sababu waliogopa nikiuliza ntaonekana Mimi ni mpumbavu Bora nikae kimya.Yap mtu unasoma mi karatasi MINGI HALFU ukienda eneo la TUKIO unakuta duh upuuuzi mfumo wa elimu especially chuoni inabid ubadilishwe watu wawe sana practically kuliko theoritically
Huyo mwalimu kilazaKatika maisha Kuna slow learner na fast learner.Sasa Cha ajabu katika masomo yanayohusisha vitendo vyuo vya afya walimu wanakuwa wakali.Ukiuliza swali kwenye practical badala ya kusaidiwa unasimangwa na mwalimu "Weewe Kila siku huelewi nitarudia kufundisha mara ngapi" hata kama hajawahi kufundisha utaskia hiyo kauli.Usipouliza ukakosea matibabu Kwa mgonjwa utapondwa vile vile pamoja na kufokewa na kutukanwa.
Mtu anatamanj kujua lakini walimu wanaomfundisha ni wakali kupita maelezo.Hawataki ukosee ,hawataki uulize swali kama hujaelewa.
Kuna wengine wameshajiwekea moyoni mwao kwamba "huyu HaweZi kitu".Kadri unavyojitahidi kuuliza maswali na kufanya practical kulingana na wanavyotaka ndivyo unavyozidi kushushuliwa na kuonekana una Kiburi.Muda mwingine unaona Bora uache tu na masomo uwe muuza nyanya kama mtu unatamani ujue lakini walimu wanafurahia kuona anguko lako badala ya kutoa msaada.
Unataka kusema kwamba wanaotakiwa wafike ni ???Sio kwa ubaya, ila uwa najiuliza. Slow learner. Anafikaje chuo?!... Tena cha Afya?!!
Umesema kuna slow learner na nani vile??!Unataka kusema kwamba wanaotakiwa wafike ni ???
Slow learners huishia kwenye kazi za majeshi.. udereva na ufundi mchundo...Unataka kusema kwamba wanaotakiwa wafike ni ???