Ina tegemeana na yuko wapi au ratiba yake iko vipiSaa saba na dakika na sekunde zake
The energy here is scary
Huku states ni day sijui kwa walioko Tzz watakuwa wamelala mda huuIna tegemeana na yuko wapi au ratiba yake iko vipi
Where is the lie?Saa saba na dakika na sekunde zake
The energy here is scary
Niko nanjilinji hapa, nalinda shamba maana wezi wana vizia tuki lalaHuku states ni day sijui kwa walioko Tzz watakuwa wamelala mda huu
πππNiko nanjilinji hapa, nalinda shamba maana wezi wana vizia tuki lala
Mbona wacheka mkuu?πππ
NothingWhere is the lie?
Nimecheka kwa sababu unalinda popo au bundi, au wezi wa mifugo?Mbona wacheka mkuu?
Ngoja niendelee na lindo, usi kute wana nivizia hapaNimecheka kwa sababu unalinda popo au bundi, au wezi wa mifugo?
Juzi hapo alikuja mwizi akaiba ng'ombe na baba yangu mdogo kalala ndani. Cha ajabu anadai usingizi ulimjia karibia na asubuhi alikuwa anasikiliz mziki taratib
Cha ajabu mwizi alionekana anatembea na ng'ombe kimya kimya na ng'ombe wala hakuwa anapiga kelele, alimfata kama wanapiga story hivi- hapo ilikuw mida ya saa nane usiku wakati mshua yuko macho na ng'ombe wake anaibiwa zizini
wanaume ndio malaya namba moja!hao.wanaolala na wanawake ni.wakina nani au mnalalana wenyewe π€£π€£Ni hivi, Tanzania kuna janga la kimyakimya ambalo tumeamua kufanya ni jambo la kawaida sana. Umalaya. Wanawake wengi walioolewa na wasioolewa wanafanya umalaya pengine wao wanaona ni jambo la kawaida sana.
Wazazi hasa kina mama wamechangia kwa kiasi kikubwa sana kwenye hilo janga. Unakuta mama anamuuliza mwanae wa kike, hivi ina maana huyo mwanaume wako hakupi ata pesa ? We unaona hali ya nyumbani hapa. Unadhani kinachofuata nini? Mwanaume anakuwa ATM.
Pili, wanaume ambao ni wajinga wanaohonga wanawake bila kutumia akili hawajui pale ni biashara mmefanya, sababu kitu pekee anakupa ni uchi tu. Hakuna lingine la maana. Na watoto wa kike wamezoea kupewa as if ni lazima. Hili wanaume tujilaumu. Mwanamke ambae unapaswa kumhudumia ni mke, mtoto wako na mama. Fullstop. Hao wengine ni unanunua chululu tu.
Sasa balaa linakuja umeoa huyo mfanyabiashara wako uliempata kwa kuspend pesa. Fulia au atokee mwamba mwenye mzigo kukuzidi. Utajua hujui. Alafu mnashangaa kwa nini rate ya talaka ni kubwa sana na mnakufa mnawaacha wanawake.
Mwanaume anatoa pesa kukununua. Wewe ndio bidhaa unakuwa. Jina ndio malaya.wanaume ndio malaya namba moja!hao.wanaolala na wanawake ni.wakina nani au mnalalana wenyewe π€£π€£
Of course lazima kwenda nao kitaalam. Wengi wanadhani mwanaume ni chanzo cha kipato. Wengi ni malaya. Ukitaka kuoa linganisha mama zetu wa zamani, kwa shida na kwa raha. Hawa ni transactional. Pesa = mbususu.Nothing
Kwa ulivyoandika watu wanaweza wakaogopa wanawake au kuoa
Kama leo nimeshinda lodge, kuna mwamba huwa anakuja kwa siku analala na wanawake 6 na zaidi mpaka 8 hivi. Akipiga mmoja anamrudisha anakuja mwingine. Ukiwaza haya utaona tabu ya maisha