Imebidi nicheke tuhiyo Radio ya tatu kutoka juu ndio bei gani?
yes sir.No escape
Hyo redio ameshakuambia bei yakeyes sir.
Nimecheka ila uachage upimbi ***** una hadabu!hiyo Radio ya tatu kutoka juu ndio bei gani?
nasubiria mkuu nawe umeipenda km mimi? kama imebaki moja itabidi iwe yangu samahani mkuuHyo redio ameshakuambia bei yake
watu wanafail vitu vingi kwa kua wajuaji inawezekana una setup ya softwer hizi lakini haiwezi kufanya kazi kama hiziHaya maswala ya kuuza software bado yapo??
We so developer unauzaje??watu wanafail vitu vingi kwa kua wajuaji inawezekana una setup ya softwer hizi lakini haiwezi kufanya kazi kama hizi
ujuaji ujuaji co mzuri.wanaotaka washapata mzigo kama hujui kitu tulia tu kwenye uzi mwingine hun a haja hata ya kucomment maana pengine huna unachojua