Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Jan 31, 2014 #1 Wanandugu wa jf kwa yeyote mwenye kujuwa kama m4c pamoja daima kama wakuja dar maana huu moto kwa sisi wanachama wa dar tumeutamani makamanda wangefungia jangwani kama kawaida kwa mtu anayejuwa ratiba atujuze tuanze kujiandaa mapema
Wanandugu wa jf kwa yeyote mwenye kujuwa kama m4c pamoja daima kama wakuja dar maana huu moto kwa sisi wanachama wa dar tumeutamani makamanda wangefungia jangwani kama kawaida kwa mtu anayejuwa ratiba atujuze tuanze kujiandaa mapema