Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,070
- 11,217
Darasa zuri
Ninachopendea UTT AMIS, kuuliza Salio ni bureee hata ukiuliza mara 10000 kwa siku bado ni Bure.
Pili, UTT AMIS ni ngumu mtu kukuibia pesa yako hata kama anaijua namba yako ya siri ya UTT.. kwani ukitoa hela UTT Iwe kwa simu(USSD), App au form lazima pesa itumwe kwenye account yako ya bank, kwa minajiri hii mwizi inabidi ajue namba zako zote za siri.. yaan ya UTT
Nadhani hata m wekeza ni hivyo hivyoNinachopendea UTT AMIS, kuuliza Salio ni bureee hata ukiuliza mara 10000 kwa siku bado ni Bure.
Pili, UTT AMIS ni ngumu mtu kukuibia pesa yako hata kama anaijua namba yako ya siri ya UTT.. kwani ukitoa hela UTT Iwe kwa simu(USSD), App au form lazima pesa itumwe kwenye account yako ya bank, kwa minajiri hii mwizi inabidi ajue namba zako zote za siri.. yaan ya UTT na bank
Pamoja mkuuAsante kwa Elimu ya uwekezaji
Madini haya
Je naweza kujiunga UTT kwenye app yao bila kwenda ofisini? Pia mfuko Gani mzuri Kwa kijana anaejitunzia Hela ili awekezeNaam
Nilazima uende ofisin pia, liquid ama bondJe naweza kujiunga UTT kwenye app yao bila kwenda ofisini? Pia mfuko Gani mzuri Kwa kijana anaejitunzia Hela ili awekeze
Nipo mkoa wa mbali na darNilazima uende ofisin pia, liquid ama bond
Hata huko mikoani wana ofisiNipo mkoa wa mbali na dar
Sawa bro , vipi hamna ya tigo inayofanana na m wekezaUnaweza kufungua account na kuanza kuweka lakini itakuhitaji kujaza fom na kuipeleka ofisini
SidhaniSawa bro , vipi hamna ya tigo inayofanana na m wekeza
Mkuu hawa utt wana opt ya kutoa hela bila kujaza fomu?Ninachopendea UTT AMIS, kuuliza Salio ni bureee hata ukiuliza mara 10000 kwa siku bado ni Bure.
Pili, UTT AMIS ni ngumu mtu kukuibia pesa yako hata kama anaijua namba yako ya siri ya UTT.. kwani ukitoa hela UTT Iwe kwa simu(USSD), App au form lazima pesa itumwe kwenye account yako ya bank, kwa minajiri hii mwizi inabidi ajue namba zako zote za siri.. yaan ya UTT na bank