M-pesa,tigo-pesa

Ngaramtoni

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
431
Reaction score
61
Habari gani wanajukwaa wenzangu,
Naombeni msaada wenu katika hili,ikiwa mtu anataka kuwa wakala wa m-pesa na tigo pesa,ni process gani atazifuata?na ni nini anatakiwa kuwa nayo?
naomba kuuliza
 
Unatakiwa uende ofisi za kampuni husika ukiwa na Leseni ya Biashara, TIN, Kitambulisho (wanapendelea zaidi cha Kura) Barua ya utambulisho toka ofisi ya Mtendaji, Picha za Passport size 2
 
Unatakiwa uende ofisi za kampuni husika ukiwa na Leseni ya Biashara, TIN, Kitambulisho (wanapendelea zaidi cha Kura) Barua ya utambulisho toka ofisi ya Mtendaji, Picha za Passport size 2
asante mkuu japo huku nilipo mkoa wa simiyu hakuna kampuni ya mawasiliano yenye office,zipo za mfukoni tu
 
asante mkuu japo huku nilipo mkoa wa simiyu hakuna kampuni ya mawasiliano yenye office,zipo za mfukoni tu

sio lazima ufungulie huko...... unaweza kufungulia popote na ukafanyia kazi popote!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…