Sunbae JF-Expert Member Joined Sep 14, 2015 Posts 254 Reaction score 176 Jul 1, 2016 #1 Habari Wanajamvi, Kutoka katika chanzo cha kuaminika ndani ya Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania ni kwamba hakuna marekebisho ya tariffs yaliyofanywa ikiwa leo ni siku ya kwanza katika mwaka mpya wa Fedha. Unaweza kuangalia tariffs za zamani na zinazoendelea hapa http://vda.cm/29lyl8a
Habari Wanajamvi, Kutoka katika chanzo cha kuaminika ndani ya Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania ni kwamba hakuna marekebisho ya tariffs yaliyofanywa ikiwa leo ni siku ya kwanza katika mwaka mpya wa Fedha. Unaweza kuangalia tariffs za zamani na zinazoendelea hapa http://vda.cm/29lyl8a
M mwayena JF-Expert Member Joined Apr 21, 2016 Posts 3,731 Reaction score 5,393 Jul 1, 2016 #2 wanatuchanganyaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!km kweli wangetoa taarifa kabla ya Leo.
Mama Subi Member Joined Feb 9, 2008 Posts 93 Reaction score 81 Jul 2, 2016 #3 Wana buy time tu. Tariffs watabadilisha very soon...
Pota JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 2,043 Reaction score 788 Jul 2, 2016 #4 Wataongeza kimyakimya