The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,690
- 2,857
Weka mkeka hapa jukwaaniWakuu, hasa wale tunaopenda michezo ya kubeti almaarufu kuweka mikeka.
Kuna kampuni nyingi za kubet ila M-Bet ni pasua kichwa.
Kuna mkeka nimeshinda kihalali kabisa, ila system yao inasema sijashinda.
Nimewasiliana nao kwa e-mail, wakanipa namba za simu niwatafute... Nimepiga hizo namba kwa zaidi ya masaa 12 hazipokelewi.
M-Bet mnachotakiwa kujua, kubet ni zaidi ya kubahatisha... watu tunatenga muda kufanya analysis za current form, head to head, current injury, league position, new signing, betting tips, etc. Tunapo bet tunatoa pesa zetu bila shuruti, nanyi tukishinda sharti mtoe mzigo bila shurti.
Mi kwakweli mtanipa tu changu, kama sio wizara ya michezo, basi tutakutana mahakamani.
=Mpare wa Milimani.
Acha kutingisha hali za wenzio, kwanza nina kesi nawewe maana huu undugu kadiri siku zinavyozidi kwenda unazidi kufifiapicha ya huo mkeka iko wapi
Hehehehe poke mkuu ila ahsante kwa kunpa formula hiziWakuu, hasa wale tunaopenda michezo ya kubeti almaarufu kuweka mikeka.
Kuna kampuni nyingi za kubet ila M-Bet ni pasua kichwa.
Kuna mkeka nimeshinda kihalali kabisa, ila system yao inasema sijashinda.
Nimewasiliana nao kwa e-mail, wakanipa namba za simu niwatafute... Nimepiga hizo namba kwa zaidi ya masaa 12 hazipokelewi.
M-Bet mnachotakiwa kujua, kubet ni zaidi ya kubahatisha... watu tunatenga muda kufanya analysis za current form, head to head, current injury, league position, new signing, betting tips, etc. Tunapo bet tunatoa pesa zetu bila shuruti, nanyi tukishinda sharti mtoe mzigo bila shurti.
Mi kwakweli mtanipa tu changu, kama sio wizara ya michezo, basi tutakutana mahakamani.
=Mpare wa Milimani.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] usinifanyie hivyo Dada...wew hata uniPM??Acha kutingisha hali za wenzio, kwanza nina kesi nawewe maana huu undugu kadiri siku zinavyozidi kwenda unazidi kufifia
Kujaa pm nikupe vidonge vyako my lovely. Kk ungekuwa karibu ningekupiga kabari[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] usinifanyie hivyo Dada...wew hata uniPM??
hayaaa naja DadaKujaa pm nikupe vidonge vyako my lovely. Kk ungekuwa karibu ningekupiga kabari
Pole sana ndugu yanguWakuu, hasa wale tunaopenda michezo ya kubeti almaarufu kuweka mikeka.