Lwakatare Video: Metadata Information Can Easily Reveal Secret

hii issue lazima ife na chama kimojawapo, na c kingine bali ni ccm tu

Tunaelekea kufikisha wiki moja sasa tangu hii skandal ya rwakatare ifumuke. Kila siku tunaambiwa kwamba "video ile imepikwa," au "ukitumia metadata unaiona" au sijui "hata megaMac pia inaonyesha"...; au "kama umesoma ICT huhitaji hata dakika 2 kujua kama imepigwa".... n.k.

Lakini ukweli ni kwamba mpaka hivi leo, hakuna mwanachadema hata mmoja aliyetumia metadata, wala mega-Mac, software video/audio distinguisher, wala ICT kutuonyesha kwamba ile video imepikwa. Kwangu mimi binafsi huu ni uthibitisho kwamba ile video ni .............

Nadhani hapa ccm au serikali yake wamefanikiwa kupenyeza jasusi lao ndani ya uongozi wa chadema na kuweza kufunua siri za chadema; sasa chadema kwa kuficha aibu yao kwamba hawana umakini wowote na ccm wana uwezo wa kupenya kwenye intelijensia yao; ndiyo wanatuambia kwamba "video imepikwa".

Kubalini tuu kwamba ccm wameshapenya kwenye milango yenu ya nyuma na sasa hivi mnao mpaka matumboni mwenu.
 
Evidence ya uchakachuaji itatolewa mahakamani sio JF.
 
Hapa magamba hawatatia neno kwani kwa ufuatiliaji huu kama utafanyika CCM na PoliCCM kwishney.
vihiyo mahakim sijui kama watakubali ushahidi wa hivi labda mpaka wapate maelekezo toka kwa mwiguulu
 
wewe mkuu kwa kuwa una huu utaalamu usiishie kutoa Nadharia ichukue hii video tumia hiyo technolojia uchambue utwekee ukweli hapa na ikiwezekana wapatie viongozi na mawakili wa chadema ili pumba ijitenge na mchele!
 
Tatizo ninaloliona katika hili swala zima la utaalamu, uchunguzi na uchunguzi wa kitaalamu ni kuwa "Ile fimbo ya kumuulia nyoka (itakayotumika kumuulia nyoka) ndiyo hasa ambayo nyoka mwenyewe amejiviringishwa kwayo".

Kwa maana kuwa wao wanaodhaniwa na kutuhumiwa wamehusika ndio haswa ambao wangetusaidia na kufanya jambo hili kwa wepesi zaidi kama wao wangekuwa upande huu wa uchunguzi na sio upande wa watuhumiwa.

Hatari ya hili ni kuwa, wao ndio wanaweza kuharibu kabisa uchunguzi ama kuuweka bayana na hadharani kujua ukweli ni nini. Wengi wetu tunaikumbuka falsafa ya "Panzi Kiganjani"

Ni hilo tuu kwa sasa.
 


wazee wa 4-4-2 wameingia choo cha kike
 
Can somebody tell me what's going on in Tz. Why on earth these guys play with our mind? Now its the Video, couple of weeks ago was the torturing of Absolum. I wonder who's next and what they will come up with as an excuse or as a diversion point. Shame on us watanzania for letting the drama continues
 
Hivi Ludovick alikamatwa kwa kigezo cha thread ya '' MANYERERE'' Na ameshitakiwa kuhusiana na nini?. Hivi lwakatare kajenga nyumba kama restaurant, na yule house girl aliyeenda pale kuorder msosi naye ni shahidi tosha, halafu nyumba haina adabu yaani mtu anaingia bila hodi anasalimia then sijui anaingia chooni na majamaa yanaongea kwa nguvu. Halafu alipomaliza kurekodiwa akawapa kile kikaratasi, sijui kimoja tu au zile karatasi zote zilikuwa zimechorwa chorwa/.
 
Thank God because at least there is a way of verifying this evil spirit evidenced here. However I am not certain with the willingness and capacity of police tz to go further to that metadata. Police Tz has been a major suspect in these kinds of scenarios the situation that pauses questions on police tz reliability in carrying out fair investigation and prosecution as long as this matter is concerned.

CHADEMA leaders now should work on the metadata and publicize everything concerned to this video so as to stop such nasty games and to create public awareness. After the reality is out, all members of this syndicate must be taken to court for the sake of restoring the goodness of our Tanzania.
 

Ndugu yangu, mim naona serikali ya TZ iingizwe kwenye maajabu ya dunia.
 

What could be the possible means of stopping the dramas which are likely to be manufactured by the rulers for their personal interests? Kindly advice.
 



GOOD news, I like this analytical and intellectual vision. Lets not play with technology. In fact, technology can reveal every single event within the video. There is NO case to answer in this video scandal, else the oposite part of the case gonna be in hot soup.
 

Usikponde na movie ya kichina iliyotengezwa na wataalamu wa kuchakachua; hiyo venue haiendani na suala lote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…