majuto mperungu
JF-Expert Member
- Jul 20, 2012
- 394
- 120
| Memory |
|---|
| Camera |
|---|
| Features |
|---|
kwa nn unaiuza na inapungua had ngapi?inapungua kidogo
naiuza kwa sababu sina hela hapa mjini bila hela siunajua maisha hayaendi.. kwama unahitaji serious nicall kwa namba yangukwa nn unaiuza na inapungua had ngapi?
umeshauza?
hyo sio lumia 620
hyo sio lumia 620
samahani nilikosea kuandika ni lumia 610Kweli kabisa,sio Lumia 620!! Nimeangalia hata gsm arena haifanani kabisa na hii yake.