ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Mar 13, 2016 #1 Hivi replacement glass ya lumia 535 inapatikana? Kwa siyeelewa ni kile kioo kinachofunika kamera ya nyuma. Kimepata scatches sana hadi picha zimepoteza ubora sasa camera ya mbele ni bora kuliko ya nyuma. Attachments C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_imagesK2GEI4PV.jpg 7.5 KB · Views: 31
Hivi replacement glass ya lumia 535 inapatikana? Kwa siyeelewa ni kile kioo kinachofunika kamera ya nyuma. Kimepata scatches sana hadi picha zimepoteza ubora sasa camera ya mbele ni bora kuliko ya nyuma.
Complex JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 4,121 Reaction score 4,788 Mar 14, 2016 #2 Nina tatizo kama hilo. Nimeulizia kariakoo sijapata. Hii nadhani solution ni kubadili housing ya nyuma.
Nina tatizo kama hilo. Nimeulizia kariakoo sijapata. Hii nadhani solution ni kubadili housing ya nyuma.
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Mar 14, 2016 Thread starter #3 Complex said: Nina tatizo kama hilo. Nimeulizia kariakoo sijapata. Hii nadhani solution ni kubadili housing ya nyuma. Click to expand... Nadhani suluhisho ni kuagiza kutoka nje. Sijui kama housing zinapatikana hapa bongo na sijui kama inakuja na hiyo glass
Complex said: Nina tatizo kama hilo. Nimeulizia kariakoo sijapata. Hii nadhani solution ni kubadili housing ya nyuma. Click to expand... Nadhani suluhisho ni kuagiza kutoka nje. Sijui kama housing zinapatikana hapa bongo na sijui kama inakuja na hiyo glass