Lukuvi na Ndugai wapingana hadharani

Hiyo font unabania wino au?
 
Lukuvi amemtetea Waziri Mkuu kwa kuwasikiliza wabunge bungeni, lakini aliposimama Ndugai akapinga na kusema hilo haliruhusiwi unless iwe ni suala ambalo haliwezi kusubiri.

Sikubaliani na Lukuvi. Akiwa bungeni WM anatakiwa awe msikivu ili apate kujibu hoja sawasawa. Kama kuna mwenye shida asubiri wakati wa mapumziko.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Lukuvi amemtetea Waziri Mkuu kwa kuwasikiliza wabunge bungeni, lakini aliposimama Ndugai akapinga na kusema hilo haliruhusiwi unless iwe ni suala ambalo haliwezi kusubiri.

Usipokuwa na Elimu ya kutosha kama LUKUVI ni sharti UJIKOMBE (boot-licker) na MWANAUME anayejikomba...agopa sana ...aweza "Kufanya lolote au kutoa chochote"
 
Naomba watu wa Sumbawanga wenye uzoefu wa ndumba wanieleze.... Ni kitu gani anachofanya Lukuvi hasa bunge linapochemka yeye hubadilika sura hasa midomo. Je kuna ndumba huwa anatafuna hili kuzuia hiyo hali au???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…