Luís Miquissone nini kimekukuta?

Una Imani za kijinga sana
 
Yanga ni timu kubwa Hapa Tz sio kwenye ulimwwngu wa mpira wa professional!. Nilitegemea uniambie Madrid,Man City au Bayern... Tz hakuna professionalism kwenye suala la usajiri. Pia Max ametoka Maniema akicheza acha kudanganya
Kwani Miq anacheza Madrid, man city au Bayern?
 
Ulitarajia nini kutoka wachezaji wanaoshinda Kawe na GENTAMYCINE ?
 
Naamini Miquison atarudi kwenye kiwango chake maana bado ni mdogo ,ila mpaka ajitume hadi ile mafuta iishe,jamaa amerudi kichwa kimekuwa kama duara kwa kunenepa, kanenepa hadi Miguu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha kwenda Al Ahly then kurudi Simba hawezi kua sawa kiakiri ni sawa na mtu alie firisika ni ngumu kukubali matokeo sababu anachukuliwa mfano wa watu walio feli
 
Simba ni wachawi watakuwa wamemroga tu bila shaka.
 
Assist za piga nikupige
Ana assist nyingi kwenye ligi kuliko Ntibazonkiza licha ya dakika chache alizocheza.

Nafikiri alipaswa kupewa nafasi kwenye mechi nyepesi za ligi au kupewa dakika chache kwenye kila mechi angerudisha makali kidogo.
 
Kama alikua hajafanya uwekezaji wa maana kuanzia Simba mpaka huko ardhi ya mwarabu...ndo baasi tena, kijana mpira usharudi kwao Brazil
 
Kama alikua hajafanya uwekezaji wa maana kuanzia Simba mpaka huko ardhi ya mwarabu...ndo baasi tena, kijana mpira usharudi kwao Brazil
Usimkatie mtu tamaa....huenda gari likawaka na kuwa wa Moto Kama msimu wake wa Kwanza simba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…