Sasa wewe Simba wamecheza mpira gani? Mashabiki wamerudi na makoo yao hamna wala kushangilia halafu mechi ya nyumbani? Kagere mlimwacha nje wanini? mungenufaika na counter-attack zake ona Bocco alikwa anaotea tu bila Luis Miquissone kuonyesha manjonjo walahi Simba mngerudisha hela zanguKapige punyeto ulale, hii ni knockout stage tunachoangalia ni kusonga mbele. Huo mpira mzuri wambie yanga wakacheze na KMKM kwenye kombe lenu la mapinduzi.
Atakuwa wa Kwampigamiti au Nanguruwe!Nyie Simba shukuruni mtacheza na Platinum ya Zimbabwe. Kuna Platinum ingine Africa ya Kusini kwa mzee Madiba mngepangiwa huko huyu dogo msingerudi nae, angebaki huko huko. Hela yangu ya kiingilio ni huyu dogo tu kaitendea haki vinginevyo nilikuwa nimeliwa.
Simba wamecheza mpira mbovu hasa kipindi cha pili kuchelewa kukawa kwingiiii, viungo walikuwa hawatoi pasi za mwisho safi zilikuwa pasi za butuabutua tu mpaka huyu dogo Luis Miquissone akachukia akaamua afanye vitu vya tofauti halafu refa akapeta penalty aliyokuwa amesababisha yeye.
Hivi kweli huyo dogo ni mmakonde? Mmakonde wa wapi? Mtwara vijijni, Tandahimba au Newala? Niambieni ni makonde wa wapi? Nanyamba au Mkonjowano au Mkoti 2?
Kiukweli tusipobadilika kwa mpira huu round inayofuata hatuvuki, platinum ni wazuri zaidi ya hawa plateau,wachezaji wanaridhika mapema
Ndo hivo tunasonga mbele hayo mengine ni bla bla za wakosajiChakushangaza jamaa wa Plateau wanawachezaji Wana vitambi kabisa lakini Simba imeshindwa kuifunga pale Taifa.
Luis ameondoka katika kundi la wachezaji hatari wakati anafika, kwa sasa anaelekea kua Kama Morrison mchezaji machachari. Simba imecheza na timu ambayo haijacheza mechi yoyote ya mashindano tangu mwezi wa 3 mwaka uu. Ina maana metch fetneess ndio wanaitafuta kwenye mashindano.
utabakia hivyo hivyo. achia moyo wako upatiwe burudani.Kiwango chake cha kawaida sana ndiyo maana South alitemwa
😲😲😲😲🤣🤣Kiwango chake cha kawaida sana ndiyo maana South alitemwa
Wivu ni jambo baya mkuu!Kiwango chake cha kawaida sana ndiyo maana South alitemwa
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji1787][emoji1787]