Rockcity native JF-Expert Member Joined Dec 31, 2012 Posts 2,176 Reaction score 1,475 Feb 1, 2014 #1 Yule kocha aliyeweka misingi imara ya timu ya taifa ya spain hadi kufika hapa luis Aragones amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 75.
Yule kocha aliyeweka misingi imara ya timu ya taifa ya spain hadi kufika hapa luis Aragones amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 75.
J JOSE MOURINHO JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 231 Reaction score 74 Feb 1, 2014 #2 Chanzo cha kifo ni nini mkuu?
Pukudu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 3,158 Reaction score 2,273 Feb 1, 2014 #3 JOSE MOURINHO said: Chanzo cha kifo ni nini mkuu? Click to expand... malaika Israel ndo chanzo mkuu
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,440 Reaction score 38,437 Feb 1, 2014 #4 chanzo cha kifo uhai! kisicho na uhai hakina kifo!
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,006 Feb 1, 2014 #5 JOSE MOURINHO said: Chanzo cha kifo ni nini mkuu? Click to expand... Itakuwa ni umri!!!!
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,215 Reaction score 15,608 Feb 1, 2014 #6 R.i.p mbaguzi.
K K A B U R U JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 922 Reaction score 1,257 Feb 1, 2014 #7 Pamoj na kuwa marehemu kawaida hupewa sifa nzuri tu, nadiriki kusema marehemu alikuwa mbaguzi sana wa rangi hasa sisi ngozi nyeusi, alituchukia sana.
Pamoj na kuwa marehemu kawaida hupewa sifa nzuri tu, nadiriki kusema marehemu alikuwa mbaguzi sana wa rangi hasa sisi ngozi nyeusi, alituchukia sana.
Ziroseventytwo Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 9,468 Reaction score 17,971 Feb 2, 2014 #8 JOSE MOURINHO said: Chanzo cha kifo ni nini mkuu? Click to expand... bwana JOSE MOURINHO tafuta id nyingine hii tayari inamilikiwa na Mourinho wa jf. Anapatikana kule kwenye jukwa la #juventus , na #milan . Unachafua mazingira bhana. Pamoja na hayo R I P mzee Aragones Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
JOSE MOURINHO said: Chanzo cha kifo ni nini mkuu? Click to expand... bwana JOSE MOURINHO tafuta id nyingine hii tayari inamilikiwa na Mourinho wa jf. Anapatikana kule kwenye jukwa la #juventus , na #milan . Unachafua mazingira bhana. Pamoja na hayo R I P mzee Aragones