Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,952
- 62,848
Mpina hayupo mirembe kama ulivyo weweJPM alisema Mpina ni kichaa, na ninaona mwezi mchanga hapa dodoma, bila shaka ni muda wake wa kutumia dozi ya ugonjwa wa akili
Huyo ni kichaa, kichaa chake kinamfanya alone mapicha picha, na akiwa Bungeni anaona mapicha zaidiMpina hayupo mirembe kama ulivyo wewe
Wakati mwingine vielement vya ukichaa ni dalili za ugeniusJPM alisema Mpina ni kichaa, na ninaona mwezi mchanga hapa dodoma, bila shaka ni muda wake wa kutumia dozi ya ugonjwa wa akili
Alone ndio nini mkuuHuyo ni kichaa, kichaa chake kinamfanya alone mapicha picha, na akiwa Bungeni anaona mapicha zaidi
Kwa hili namuunga mkonoNimefurahi kuona kuwa, umegundua kuwa mzizi wa fitina wa mambo yetu kuwa hovyohivyo ni kwa sababu ya katiba mbovu inayotoa impunity kwa watu wachache kufanya wanalotaka kwa sababu wanajua somewhere ktk chain ya ya mamlaka wanalindwa na mtu anayelindwa na katiba kutoshitakiwa na asiyelazimika kufuata ushauri wa mtu yeyote.
Katiba mpya walioko madarakani hawaitaki.Ndugu Mpina.
Unaupiga mwingi sana.
Kinachonifurahisha, unahoji mambo ya msingi sana, na hivyo ndivyo inavyotakiwa.
Kilichonifanya niandike uzi huu ni baada ya wewe kugusia ishu ya katiba mpya.
Nimefurahi kuona kuwa, umegundua kuwa mzizi wa fitina wa mambo yetu kuwa hovyohivyo ni kwa sababu ya katiba mbovu inayotoa impunity kwa watu wachache kufanya wanalotaka kwa sababu wanajua somewhere ktk chain ya ya mamlaka wanalindwa na mtu anayelindwa na katiba kutoshitakiwa na asiyelazimika kufuata ushauri wa mtu yeyote.
Ninajua wazi kuwa na wewe ulikuwa timu ya utawala uliopita na ulizingua sana ktk kuchoma nyavu za wavuvi masikini lakini hata hivyo hata wao walikuwa pia sehemu ya utawala uliopita. Angalau wewe sasa hivi unaongelea mambo makubwa na muhimu ya nchi lakini wao wapo katika kutoa kauli za dharau kuwa twende Burundi, Wengine wanatetea makampuni ya data na simu badala ya kutetea wananchi.
Endelea kushikilia hapohapo kwenye suala la katiba mpya, maana huo ndo mwarobaini wa ujingaujinga mwingi unaoendelea nchi hii
😅😅Naunga mjini hoja!
Sawa wacha waendelee na maigizo huku Nchi ikididimia kwa umaskini na udumavu wa akili kama wako.CCM haitotawala milele ila itatawala miaka mingi sana kwa kuwa inatumia style ile ile ya kuzubaisha watu
wamesahau ya kina Anna Kilango, Harison Mwakyembe, Kangi Lugora n.k
CCM ni kama Mto unaotirirsha maji…ukikutana na Ugogo na chafu mwingi unazuga kujitenga na kutengeneza matawi tofauti na wanakuja kuungana mbele ya safari wakishavuka vigingi
Luhaga 2025 atakuwa Mwenyekiti wa Kampeni za Mama kanda ya Ziwa Inshallah bi idhni llah!
😅😅😅wateule ana wateuasuala la katiba ,NI muhimu sana.tunahitaji katiba yenye maslahi mapana kwa kila mtanzania,hii ya Sasa inalinda maslahi ya wateule
Hiyo analogia ya mto umewaza sanaCCM haitotawala milele ila itatawala miaka mingi sana kwa kuwa inatumia style ile ile ya kuzubaisha watu
wamesahau ya kina Anna Kilango, Harison Mwakyembe, Kangi Lugora n.k
CCM ni kama Mto unaotirirsha maji…ukikutana na Ugogo na chafu mwingi unazuga kujitenga na kutengeneza matawi tofauti na wanakuja kuungana mbele ya safari wakishavuka vigingi
Luhaga 2025 atakuwa Mwenyekiti wa Kampeni za Mama kanda ya Ziwa Inshallah bi idhni llah!
Hahaha.......mambo ya mbege bwashee!
Nimeshangaa hata Chadema wanamkaribisha ikiwa CCM watamkata!! Kwa style hii nikiri tu CCM itatawala sio tu miaka mingi ila mpaka kiama maana tunachezewa mchezo ule ule hatujifunzi.CCM haitotawala milele ila itatawala miaka mingi sana kwa kuwa inatumia style ile ile ya kuzubaisha watu