KERO Lugalo sekondari nini kinaendelea? TAMISEMI na Wizara ya Elimu mko wapi?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wakichapwa mnalalamika,jamaa wamegundua utaratibu mzuri mnalalamika!

Walimu wafanye kipi mkuu?

Lkn kwa nini usimhamishe mwanao?
 
We
Wewe jamaa vp! Kosa lenyewe ni kutoingia kwenye kipindi. Kwa hiyo umempeleka pale ili asihudhurie vipindi?
 
Watoe tu ili wazazi tuwaunge walimu kuwakanya watoto wetu maana haifai kuwaachia walimu peke yao wakati wakiwachapa tunapiga yowe.
 
Kuwa mwelewa basi! Huyo mzazi kawacharukia walimu kwa sababu wanatosa adhabu za hela wazazi kwa kosa alilofanya mtoto shuleni!
 
Kukushauri tu labda ufwatilie risiti hao walimu sio wajinga mpaka wakakupiga faini..halafu ww unasema kosa dogo hujui kosa dogo ndio laweza sababisha mtoto akafeli? Kutokuhudhuria class ni kosa kubwa sana.wacha kumtetea mwanao..mm nimesoma hapo lugalo 2013, huyo mwanao atakuwa A.level.. miaka miwili ni ya kuwa bize na masomo na sio utoro..hujui tu ni jinsi gani hao walimu wanagombezwa matokeo yanapokuwa chini kwenye ufaulu
 
Afadhali naona na walimu wameanza kuliliwa mitandaoni. Ndugu mzazi hebu pambana kuhakikisha mwanao anakuwa na nidhamu, walimu shikilia hapo hapo yamkini heshima yenu ikarudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…