Jamani nikimuangalia Lucy nakumbukaga tu lile balaa lake siku ya harusi na mzungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Wenyewe wameenda zao sijui mbudya wenyewe kuturusha roho wanazengo, wakapanda boti, shoga angu akawa busy anajipiga selfie mwenyewe , Mara mtumbwi usizame nini ? Wote wakadumbukia kwenye maji , jamani Mimi na Mama Sabrina tulicheka mwezi mzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], cheusi dawa alijua kutuvunja mbavu , na gauni lake mwenyewe kama la kipaimara cha miaka 1980 na skuna Zake nyeupe kama Ma nesi wa muhimbili[emoji1787][emoji1787][emoji1787], Ila shoga tulimchamba muke ya muzungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona bibie kajifungua mtoto wa kike, hongera zake , na amenenepa mwenyewe , ndoa tamu , mi nilijua shoga umeachika maana hatujaona drama zako na mzungu kitambo, hongera mwayaView attachment 1085557
Europa kuzuri mbona amekuwa mkubwa mara mbili au nachanganya watu hapa
Aliondoka kiduchu sasa amekuwa mmama au
Nakumbuka tulicheka mwezii aisee comment zako zilivunja mbavu watu halaf na simu yake nyeupe kashikilia mkononii samsung hivi ilipona ilikufa?
Halaf bina nakuja pm
Amejiharibu lakini labda ni uzazi atarudi kwenye shape yake.Kipindi hicho alikuwa mwembamba now kanenepaa
Njoo pm binamu , yani kile kipindi ilikua balaa 🤣🤣🤣, watu walivunjika mbavu kwa kweli 🤣🤣🤣, Lucy alijua kutuvunja mbavu
Aliku amemechisha mwenyew , shela jeupe, skuna nyeupe na simu nyeupe🤣🤣🤣, simu haikupona🤣🤣🤣🤣
Ndiye nani hasa mpaka tumfuatilie ?!
Amejiharibu lakini labda ni uzazi atarudi kwenye shape yake.
Hahesabiwi chips huyu inaelekea.Labda kwa vile yupo mbele aisee
Nadhani mzungu alikuwa amemletea toka sweeden ilishikiliwa hakuna kuwekwa kwenye pochi ,bina una vitukoo
Pm nishakuja nasubiria majibu tu ya ufasaha lasivyo utakoga matusi