Kwa sababu wagombea wa nafasi zote kuanzia udiwani, ubunge na urais wana hadhi sawa mpaka baada ya matokeo, iweje mmoja asindikizwe na FFU na mwingine hapewi hata polisi shirikishi?
Nashangaaa misafara ya magufuri watu hawasumbui na bado anapewa ulinzi mkali...
Kwa Lowasa watu wakinusa tu harufu yake hata Polisi wanakosa kazi maana watu watavunja vizuizi vyote ili wamuone
Vile vile ulinzi kwa viongozi wa ccm ni sahihi kabisa maana magufuri amedhihirisha kuwa ndio wanaosababisha ndg zetu wafe kwa kukosa dawa. Naiasa serikali iwalinde sana. Kama wakilindwa wanazomewa unadhani itakuwaje wasipolindwa?