No, gwanda lina heshima yake jamani! ATALINYEAWatu wana muona Mh Lowassa kama mamluki wa chadema. Kwa ushauli wangu, kwa siku zilizo baki Rais wangu mpendwa dhihilisha kwamba wewe ni kamanda, na vaa combati kwanzia kesho mpaka mwisho wa kampeni.
Tunamiona Mbowe kama kawa anatinga kombati yake kila siku, na wewe kama mpeperusha mbendea, ya chadema vaa kwa kuonyesha wewe ni chadema na sio mamluki.
Maneno kuntu sana .Mkuu, kanzu halimfanyi mtu kuwa Shehe au Padre. Pamoja na kuwa muasisi waCCM, Mwl Nyerere hakuwahi kuvaa nguo za ccm!
Uongo utakusaidia nini ?Lowassa avae gwanda?? Thubutuuuuu..hamjui yuko pale kimaslai binafsi zaidi
No, gwanda lina heshima yake jamani! ATALINYEA
... anawakilisha nld, nccr, cuf & chadema, itakuwa ni kosa la kiufundi kuvaa gwanda
No, gwanda lina heshima yake jamani! ATALINYEA