Lowassa tunakutaka wewe, mbona uko kimya?

kwa lowassa mtasubiri sana, na badao- Msaga Sumu
 
Kwahiyo muda mwingi mnautumia kusikiliza kampeni za Lowasa kuliko za Magufuli?
Nimeamini Lowasa anajua siasa kweli.
Anawanyima CCM usingizi.
 
Lowasa alibebeshwa zigo la richmond na akakaa kimya miaka saba huu ukimya wa viwiki kadhaa vinawashangaza? Rais huwa hasemisana, atawajibu akishatangaza baraza la mawaziri
 
Kupuuzia upuuzi ni moja ya sifa ya kuwa Rais wa Nchi. Lowassa anayo!
 
Si mlisema mpumbavu na lofa, kwann mnataka kubishana na mtu wa namna hiyo:

Kukaa kimya ni jibu la Mjinga, hata taarab wanaimba "SINA MDA HUO, by jahazi modern taarab_ Reila rashid". Kuongea pia ni wito
 
lowasa hata akikaa jukwaani akajitangaza yeye mwenyewe kuwa ni mwizi fisadi na mbadhirifu bado wananchi tutamchagua hata mseme nini...ndo tunamtaka

Ukweli ndio huo....shukrani sana mkuu.
 
Rais mtarajiwa hawezi kusimama jukwaani kujibu blabla, vjituuma visivyo na mshiko, ndo maana anaendelea na ishu zake, hasa jinsi atakavounda serikali mpya na makini yenye kutoa majibu ya ahadi wanazozitoa ukawa. Mi nawashauri viongozi wa ukawa wasupotezi mda na pesa nyingi kwa ajili ya kuzunguka nchi nzma kumtangaza Lowasa maana Promo wanayompa ccm inatosha kabisa. Huko vjijin wanasema Lowasa anatosha na wengne hawana habari km Lowasa kashatoka ccm. Ila Imani yao ni kwa Lowasa.. Duuuh kweli Lowasa ni Mpango wa Mungu.
 


ha ha ha ha ha! mbona unahangaika sana wewe?
 
Kumbe ndio lengo lenu! Mnataka na yeye ajibu hizo taarabu na mipasho ili na yeye aonekane mbele ya kadamnasi kuwa yuko kiwango cha mipasho! Kwa mmbinu hii hammpati mgombea wetu. Yuko makini sana - yeye ni matawi ya juu. Mtasubiri hadi Oktoba 25.
 
Nasikia mzee ametundikwa dripu za maji baada ya afya kuyumba. Mpaka akili irudi ndo utamuona akianza kuongea.
 

Agenda yetu ni mabadiliko, sio malumbano!

Lowasa kakidhi vigezo na ndio maana Tume na Sheria ya Uchaguzi vimemtakabali.

Lowasa ana kazi kubwa sasa ya kuwaeleza Watanzania waliosahaulika kwa miaka zaidi ya hamsini atawaongoza vipi kufikia ndoto zao.

Hao wanaoshindia mihogo hivi sasa wako beach za Amerika wakigonga mvinyo!

Hatuwezi kuukomboa wakati while arguing with fools.
 
Hii style ya Lowasa nimeipenda hata humu JF ile mijingajinga kama kina ritz na shetani khathaan usipoyajibu yanaumia roho kweli, mimi ndio nimeyamsliza kwa kuyasweka kwenye ignore list kabisa.

Huwezi kumprovoke Lowasa mnapoteza muda wenu tu.

Ni kawaida ya changudoa kukumbuka wateja wake wa zamani hongera da matola

Cc Ritz kahtaan
 
Last edited by a moderator:
Ni kawaida ya changudoa kukumbuka wateja wake wa zamani hongera da matola

Cc Ritz kahtaan

Naona dada Matola anahara kwa raha zake.
Mtoto huyu toka atoke unyagoni amekuwa pashkuna wa kutupa.
Ukimtania tu chupi kwenye magoti!
😂😂😂😂
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…