Lowassa: Tumewashika CCM Pabaya


Sio wakazi wote wa dar-es-salaam wana umri zaidi ya miaka 18.

Unapoambiwa dar ina wakazi milioni 8 usitarajie wajiandikishe watu millioni 8 pia.
 

Kweli unaumwa Mkuu.... Tusubiri wiki hii Twaweza wanatema mzigo sio hizi porojo zako
 

Picha ya kupanda jukwani na ile ya mic ni kazi za ofisi mpya (IT centre) ya January pale Masaki.... Moja ya Jd yao ni kufanya editing kwenye picha na video...

Kwa mfano ile ya kupanda jukwani inaonyesha Lowassa ana miguu 3, we duniani ushaona mtu mwenye miguu 3?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…