Duh! Ila Jamani Lowassa Alikuwa Anatia Huruma Sana Kama Mlikuwa Mnamwangalia Na Nadhani Anawaza Atarudishaje Hela Za Watu Yasije Yakamkuta Ya Hayati Captain Komba.
Membe nilimuona kama analia vile then mkewe akawa anambembeleza, pia kaka mtu akageuka dictor...nasema hakuna kushangilia...eeh, ndio hivyo hakuna kushangilia...unachezea kura wewe 120 kati ya....mtajaza