Lowassa na Team yako karibu sana Ukawa najua Maccm wanakuhofia sana ndio maana wakakata jina lako mapema na si ccm tu hata sasa sisi wenyewe team Ukawa ulikuwa unatumiza vichwa sana njoo Ukawa ujisafishe na utupe maboko ya ccm tuwamwage mwaka huu nakuweka historia ya chama pinzani kushika dolla.
Fisadi ni Fisadi tu Lowasa hasafishiki ni bora habaki huko huko ila kama akitaka kuingia UKAWA atubu hadharani dhambi zake zote pia na kumuomba msamaha Mwakyembe kwa yale aliyofanyiwa hapo UKAWA watampokea kwani atakuwa amejitakasa mbele ya muumbs.

Nimeipenda hii Sitta,Mwakyembe na Magufuli..Magufuli aje aanze na hao then wafuate akina Fliiku njombe hata prof Muhongo hakua mbaya sana ila ajali ilimkutan..na wemgine,nasikitika sana kudhoofu kwa mama Kilango malecela!angefaa kundi lao