Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 720
Siku tutakua kujua km Lowasa ni system itakuwa ni too late. Kwa afya chadema lowasa asiye front now kwenye chama chenu. Lowasa ni CCM na alikuja kugombea Urais tu ambao ameukosa. Chadema mwandaane mtu mwingine lowasa hatufai. Sasa hivi mmezolota sana chadema hampo relevant km zamani..mnaiga techniques za lowasa za kukaa kimya.. Mnakosea sana.
Hakuna kazi nyepesi km kuwa mpinzani nchi hii..tena kipind hiki kuna mambo Mengi ya kusema na kupinga.
Lowasa ni kirusi kwa chadema..lowasa ni system.. Lowasa ni kirusi kwa ustawi wa upinzani wa ukweli. Mshukuruni kwa kuleta wabunge wengi na asiwe mwenye chama.
Atakufa kihoro tu bora apumzike maana 2020 hatashinda Urais period!!hebu msome lowasa hapo chini
Lowassa: Msipingane na msimamo wa JPM
“Tupingane kwa hoja bila kuumizana na kutakiana mabaya, tuwasaidie wananchi wanaopata matatizo bila kuwapuuza,”
KIPANDE KIDOGO TU TAYAR KINA HOJA AMBAZO MAGUFULI ANAPATA AIBU KASEMA HAKUNA NJAA HAWEZ KUSAIDIA MTU WAKAT TAASISI ZA KIDINI ZISHAWATANGAZIA WAUMINI WAO SHIDA ILIYOPO NCHINI NANI ANAONEKANA TATIZO KWENYE JAMII?
HUWEZ KUPINGANA NA MAGUFULI KWA NGUVU TUMIA AKILI TU NA HOJA KILA SIKU ATAUMBUKA MANA HATA UKIPINGANA NAE KWA NGUVU HUWEZ KUMTOA MADARAKANI KAMWE NI HOJA TU ZA KUSHAWISHI WANANCHI.
Siku tuta kuja kujua km Lowasa ni system itakuwa ni too late. Kwa afya chadema lowasa asiwe front now kwenye chama chenu. Lowasa ni CCM na alikuja kugombea Urais tu ambao ameukosa. Chadema mwandaane mtu mwingine lowasa hatufai. Lowasa ni mwenzao..anabiashara zake Hugo. Lowasa hana bifu na magufuli kabisa..tena anafurahi Namba moja anavyomnanga mtangulizi wake. Lowasa anabifu na jk tu na siyo Ccm. Sasa hivi mmezolota sana chadema hampo relevant km zamani..mnaiga techniques za lowasa za kukaa kimya.. Mnakosea sana.
Hakuna kazi nyepesi km kuwa mpinzani nchi hii..tena kipind hiki kuna mambo Mengi ya kusema na kupinga.
Lowasa ni kirusi kwa chadema..lowasa ni system.. Lowasa ni kirusi kwa ustawi wa upinzani wa ukweli. Mshukuruni kwa kuleta wabunge wengi na asiwe mwenye chama. Ni bora kuwa na zito kuliko lowasa..mpinzani gani hang'ati. Yupo yupo tu..! Lowasa anatabia ya kujijenga yeye badala ya chama. Mwaka 2020 mtashangaa. Mtoeni mapema front line. Awe mzee wa chama tu km mtei.
Aise kumbee eeehSiku tuta kuja kujua km Lowasa ni system itakuwa ni too late. Kwa afya chadema lowasa asiwe front now kwenye chama chenu. Lowasa ni CCM na alikuja kugombea Urais tu ambao ameukosa. Chadema mwandaane mtu mwingine lowasa hatufai. Lowasa ni mwenzao..anabiashara zake Hugo. Lowasa hana bifu na magufuli kabisa..tena anafurahi Namba moja anavyomnanga mtangulizi wake. Lowasa anabifu na jk tu na siyo Ccm. Sasa hivi mmezolota sana chadema hampo relevant km zamani..mnaiga techniques za lowasa za kukaa kimya.. Mnakosea sana.
Hakuna kazi nyepesi km kuwa mpinzani nchi hii..tena kipind hiki kuna mambo Mengi ya kusema na kupinga.
Lowasa ni kirusi kwa chadema..lowasa ni system.. Lowasa ni kirusi kwa ustawi wa upinzani wa ukweli. Mshukuruni kwa kuleta wabunge wengi na asiwe mwenye chama. Ni bora kuwa na zito kuliko lowasa..mpinzani gani hang'ati. Yupo yupo tu..! Lowasa anatabia ya kujijenga yeye badala ya chama. Mwaka 2020 mtashangaa. Mtoeni mapema front line. Awe mzee wa chama tu km mtei.
. Lowasa hana bifu na magufuli kabisa..tena anafurahi Namba moja anavyomnanga mtangulizi wake. Lowasa anabifu na jk tu na siyo Ccm. Sasa hivi mmezolota sana chadema hampo relevant km zamani..mnaiga techniques za lowasa za kukaa kimya.. Mnakosea sana.
Hakuna kazi nyepesi km kuwa mpinzani nchi hii..tena kipind hiki kuna mambo Mengi ya kusema na kupinga.
.
Atakufa kihoro tu bora apumzike maana 2020 hatashinda Urais period!!