youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
~ be the first to reply~
Umeanza vizuri sana lakini umeharibu hiyo sentensi yako ya mwisho. Kwenye siasa hakuna kuhakikishiana kwani lolote laweza kutokea na mwanasiasa makini hujiandaa kwa lolote. Mara nyingine badilisha hitimisho lako liwe. Mungu Akipenda, Ushindi ni wako tarehe 25 Oktoba. Huna uwezo wa kumhakikishia mtu jambo lolote hasa katika siasa!
Hata mimi Lowassa angegombea kwa CCM nisingempigia kura
Hata Mimi Nisingempa Kura, UKAWA Imembaba Rais ajae Ndg yetu,Rafiki yetu, Kipenzi chetu na mtu Wa Watu Mh.Edward N. Lowassa.
Lowassa Wanaenda kuwa Rais Kwa Sababu ya Mambo haya:-
Kitengo walimpaisha walipoidhurum Haki yake waziwazi Pale Dodoma.
Matusi dhidi yake Kutoka kwa mahasimu wake ambao Hata Siku mMoja hakuwajibu..(Nape,Makonda,Polepole, Mkinga,Mtikira, nk).
Kusingiziwa Richmond Huku ikijulikana Amri ilitoka Juu.
Kuendeshs Siasa za Kiugwana na Kistaarabu.
Kuingia Uoande Wa Mabadiriko ma Kuimba wimbo Wa Mabadiriko.
Kuudhihisha Umma Wa Watz ya Kwamba Rais anaweza kKutoka popote Kwenye JMY ikiwepo Kaskazini.
Kumbe yeye kama yeye hafai! Yaleyale ya jiwe.
~ be the first to reply~
Umeanza vizuri sana lakini umeharibu hiyo sentensi yako ya mwisho. Kwenye siasa hakuna kuhakikishiana kwani lolote laweza kutokea na mwanasiasa makini hujiandaa kwa lolote. Mara nyingine badilisha hitimisho lako liwe. Mungu Akipenda, Ushindi ni wako tarehe 25 Oktoba. Huna uwezo wa kumhakikishia mtu jambo lolote hasa katika siasa!
Kumbe yeye kama yeye hafai! Yaleyale ya jiwe.
Hapo unapaswa kuelewa kuwa sisi wengine tatizo letu si Mtu binafsi ni CCM!!
Hivyo yeyote atakayegombea kupitia CCM kwangu ni big NO!!
Hata mimi Lowassa angegombea kwa CCM nisingempigia kura
Alipo nipo popote ningempa kura