kosa hamkumpeleka gerezani hapo ndio mlipotuuzi wananchi kulea wezi, sasa wanawageuka hao wezi kuwa shubiri, mtajua tu mwaka huu hata ukimbilie wapi report zinafika hahaaaaaaa:bounce:
Lowasa anamambo ya kihuni sana lakini mwaka huu atapata aibu sana maana mpaka sasa anatia aibu kila kukicha anadhani pesa zake za ufisadi zingempatia urais.
Sisi mambumbumbu, malofa na wapumbavu, tutajisadia sana barabarani ili kuwe na lami, tutapiga sana mbizi kigamboni ili tuvuke bure na hayo yote tutayafanya ili LOWASSA awe raisi pale ifikapo Octoba 2015............