Lowasa anamambo ya kihuni sana lakini mwaka huu atapata aibu sana maana mpaka sasa anatia aibu kila kukicha anadhani pesa zake za ufisadi zingempatia urais.
Wewe hujitambui. Issue sio Lowasa? Kwa hiyo mabadiliko yatasimamiwa na nani? Usiwe kama mjinga! Gari bila dereva lnaweza kwenda lenyewe sio, ndio unamaanisha.! Na kama haliwezi jiendesha huyu mtu unayetaka kumkabidhi nchi ana maadili gani? Ana uaminifu gani? Hivi ukimtazama machoni utaona sura ya uaminifu kweli? ? Au ufisadi mtupu. Tena afadhali angekuwa mwenyewe kidoogo ungeweza sema potelea mbali, lakini hilo group lake huko nyuma ungelifahamu usingesema. Mnataka kuuza hii nchi? ? Acheni ujinga!
Eti kupigwa wana habari kulaniwe kwa nguvu. Sasa mtu kama hajui maadili ya kazi yake hakuna jingine zaidi ya kuchezea kichapo. Ni kichapo tuu maana hakuna namna nyingine
Lowasa anamambo ya kihuni sana lakini mwaka huu atapata aibu sana maana mpaka sasa anatia aibu kila kukicha anadhani pesa zake za ufisadi zingempatia urais.
Na hii ndo sababu kubwa ya ccm kuondoka madarakani, tumewapa dhamana ya kuongoza taifa, lakini mmeshndwa mnaacha majizi yanagombea urais na ubunge badala ya kuyapeleka segerea.