Lazima tujifunze kutoka kwa nchi majirani na marafiki.Ikumbukwe Africa kusini walipo lazimisha kumpitisha Thabo Mbeki kwa mahaba upofu leo hii wanajuta kwa kuuana wenyewe kwa wenyewe na kuwaua waafrika wenzao kisa walimweka mtu ambaye hakuwa safi na hakustahili kuwa hata mwenyekiti wa ANC.
Nasema hivyo kwa sababu kwa mara ya kwanza mtu wa aina ya mbeki tunaye leo hii Tanzania na anagombea urais, mtu huyu ambaye ndiye mwizi mkuu wa nchi hii,ndiye anaongoza kwa kuhonga mamilioni ya shilingi ila leo watanzania wanamshangilia na kumwona Mungu mtu.
Gazeti la Raia Tanzania leo limemtaja mbowe kuhamisha mamilioni ya shilingi nje ya nchi,mamilioni hayo yanahusishwa na kuhongwa na mgombea wake ndugu Lowassa, swali la kujiuliza ni halali kuhonga na kununua nafasi ya kugombea ili uingie Ikulu na kutuibia?
CHADEMA kuuza nafasi ya mgombea urais kwa mtu wanae jua kuwa walimtangaza kwa miaka minane kuwa ni mwizi?Je watanzania tuendelee kuwaamini akina mbowe na Tundu lisu ambao wamegeuka na kuwa vinyonga wenye ndimi mbili?
Watanzania inapaswa tujiulize uhalali wa Lowassa kuhonga malioni ya shilingi ili apewe nafasi ya kugombea ili hali anajua kuwa hajawahi kuwa msafi Tangu misingi ya taifa hii iwekwe.

Mkuu hoja zako kwa sasa hazina mashiko. Mtu anagombea urais wewe unasema hafai. Kama hafai tume isingempitisha, wewe nenda 25/10/2015 kaoneshe kuwa hafai sio lazima kila mtu afuate mawazo yako. Hilo la Mbowe unapaswa kuwa makini kwani sasa hivi kuna magazeti yamesajiliwa kwa kazi ya kuchafua watu. Kama huna ushahidi nyamaza tu mkuu. Ndio maana hata Lowassa kasema mwenye ushahidi wa madhambi yake aende mahakamani. Watu wanapiga kelele lakini hawana takwimu za ufisadi wake ndio maana wengine wamekimbilia afya yake kana kwamba wao ni mawe huwa hawaugui au hawatakufa. Wanazungumzia tu kufa kwa EL lakini hawatwambii kuwa wao hawatakufa. Lakini Mungu ni wa ajabu wanakufa wengine ambao hawakufikiriwa na wanayemuombea kufa anaendelea kudunda. Tujipange kwa maamuzi 25/10/205Lazima tujifunze kutoka kwa nchi majirani na marafiki.Ikumbukwe Africa kusini walipo lazimisha kumpitisha Thabo Mbeki kwa mahaba upofu leo hii wanajuta kwa kuuana wenyewe kwa wenyewe na kuwaua waafrika wenzao kisa walimweka mtu ambaye hakuwa safi na hakustahili kuwa hata mwenyekiti wa ANC.