lowassa amkubali magufuri kiaina

rais wako

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
605
Reaction score
514
ni baada ya kuandika maneno yanayoipongeza serikali ya magufuri kwa kumaliza kesi ya sheikh ponda na pia lowassa kaomba kesi ya babu sea iangaliwe upya tena
 

Attachments

  • 1449674935384.jpg
    35.3 KB · Views: 4,454
Yaani habari za majipu TRA na TPA kwake siyo habari..!
 
Hili la Babu Seya linazidi kunipa mashaka.... Kwa nini Lowassa analizungumza kila mara?
 
Yaani habari za majipu TRA na TPA kwake siyo habari..!

Usishangae huyo ndio iliyokuwa ilaaani ya CDM aliokuwa anaisimamia mara kwa mara ,kumtoa babu seya gerezani ,kumleta daudi balali , yeye kamwe hakuwahi kukemia sawala laUFISADI maana ndio maisha aloyaishi ,na hata pale arusha WAKATI anatangaza nia ,alisema ile hela ya kuwaleta watu na kugharamia ule mkutano 1.5b alisema alichangiwa na marafiki wake kama akina KARAMAI ,ROSTAM,MENGI ,na akasema anatamani awe na akina KARAMAI KAMA 200 hivi huyo ndio LOWASA
 
Hapana alikuwa anakemea kitendo chako cha kugawa masaburi
 
hili zee jinga sana..watu tunazungumzia core issues lenyewe linaleta mambo ya wabakaji hapa
 
viva-LOWASSA,,rais wa wazalendo na wenye mapenz mema na Tz yetu,,
 
ndiyo kaz yake rais wa wanyonge kutetea haki za wanyonge kamwe hata nyamaza ikiwa bado kuna wahitaji long-live our presd
 
Hili la Babu Seya linazidi kunipa mashaka.... Kwa nini Lowassa analizungumza kila mara?
Pengine ana taarifa tusizokuwa nazo wengine...maana yanayosemwa mitaani pia yanachagiza kuongeza taswira hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…