eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Lowasa acha kujifyatua unajua unashindwa kuwa muwazi kwa mafisadi wenzio
Mgombea urais anaesubiri kuapishwa Edward Lowassa akiwa katika jimbo la Magu ameitaka tume ya uchaguzi kuwa makini kama kweli tume hiyo iko huru la sivyo wataiingiza nchi katika matatizo makubwa ambayo hayajawahi kutokea nchini.
Lowassa amewataka tume kuwa makini pasipo kuyumbishwa kwa kuwa amani ya nchi hii iko mikononi mwao.Alisema anasikitishwa sana na maelezo yanayotolewa na tume hiyo huku akihoji wapi uhuru wa tume hiyo kama walivyodai mwanzo kuwa wako huru.
Lowassa pia ameitaka serikali ya CCM kutocheza na amani ya nchi hii.

Ndio umeandika nini sasa hapo. . . . ??!!!kitendo cha jk kuingilia tume kimeonyesha tume hii haiko huru. kwa mfano jk anasema wapiga kura walioandikishwa ni milioni 28 huku tume ikidai wapiga kura walioandikishwa ni milioni 22. hapo kuna maswali mengi kuliko majibu...
Amesema kwa nini anahisi tume haiko huru?
Naona umeandika kama mwandishi wa NIPASHE!
Ndio umeandika nini sasa hapo. . . . ??!!!
Hizo namba alizotaja zimeathiri nini katika utendaji wa tume???!!!
Fikiria kwa umakini sio kuandika tu. . . .
Toa mfano.CCM NDIO CHAMA CHA AMANI.Mpaka sasa amani ya nchi iko mashakani,matamko yanayotolewa na viongozi wa CCM ni kichocheo cha uvunjifu wa amani.
Mgombea urais anaesubiri kuapishwa Edward Lowassa akiwa katika jimbo la Magu ameitaka tume ya uchaguzi kuwa makini kama kweli tume hiyo iko huru la sivyo wataiingiza nchi katika matatizo makubwa ambayo hayajawahi kutokea nchini.
Lowassa amewataka tume kuwa makini pasipo kuyumbishwa kwa kuwa amani ya nchi hii iko mikononi mwao.Alisema anasikitishwa sana na maelezo yanayotolewa na tume hiyo huku akihoji wapi uhuru wa tume hiyo kama walivyodai mwanzo kuwa wako huru.
Lowassa pia ameitaka serikali ya CCM kutocheza na amani ya nchi hii.
Amesema kwa nini anahisi tume haiko huru?
Naona umeandika kama mwandishi wa NIPASHE!
Jamani muwe na kiasi, hizi ni dalili za vurugu!! hata kura hatujapiga!!! Halafu utafikiri kula zote unapiga peke yako? Tafadhalini jamani tuweke na akiba ya maneno.Mgombea urais anaesubiri kuapishwa Edward Lowassa akiwa katika jimbo la Magu ameitaka tume ya uchaguzi kuwa makini kama kweli tume hiyo iko huru la sivyo wataiingiza nchi katika matatizo makubwa ambayo hayajawahi kutokea nchini.