MEXICANA;ila mbowe jasiri sana,unajua kumtukana mtu 7 years hafu uje umsujudie inahitaji moyo wa standard gauge na ukosefu wa aibu wa kiwango cha rami.
Nini kuweza mkuu,hata kuwaza wasingetaka,sasa hivi tungekuwa tunazungumzia makinikia ya wanyama wetu siyo eti madini tena.Kwa hiyo Lowassa na Sumaye wasingeweza?
ahaa..nimekupata mkuuNini kuweza mkuu,hata kuwaza wasingetaka,sasa hivi tungekuwa tunazungumzia makinikia ya wanyama wetu siyo eti madini tena.
Mchakato wa katiba uligharimu bei gani mpaka ulipostopishwa!!?ila mbowe jasiri sana,unajua kumtukana mtu 7 years hafu uje umsujudie inahitaji moyo wa standard gauge na ukosefu wa aibu wa kiwango cha rami.
Sina upande wowote lakini Sumaye na Lowassa hawana usafi kama ambavyo watajaribu kufanya watu waamini.Kwa hiyo Lowassa na Sumaye wasingeweza?
Alright...poaSina upande wowote lakini Sumaye na Lowassa hawana usafi kama ambavyo watajaribu kufanya watu waamini.
Kama fagio la chuma litawagusa viongozi wa serikali zilizopita Lowassa na Sumaye hawatapona. Kwa kulinganisha kwenye uhusika wa sakata hili la mikataba ya madini Magufuli ana unafuu maana hakuwa Kiongozi mwandamizi kama walivyokuwa Sumaye na Lowassa. Upizani hawawezi kuwatumia kama silaha. Wanabeba lawama tu kwa kuhusika. That is the weak point of their stand.