habari wakuu! Baada ya mwenyekiti wa chama cha tlp bwana augustine mrema lyatonga kutangaza kumuunga mkono bwana lowasa 2015,siri zaendelea kuvuja,,habari zilizopztikana jioni hii zinasema kuwa bwana lowasa tayari ameshafanya mazungumzo na mwenyekiti wa tlp na wote wameelewana kuwa kama lowasa atakosa nafasi kwenye chama chake,basi hataunda chama kipya isipokuwa atajiunga na tlp,haya yanakuja baada ya chama cha mapinduzi kugawanyika hasa katika wagombea wa urais na kwamba mpaka sasa kuna kambi saba huku lowasa akionekana kutokukubalika ndani ya chama chake,aidha taarifa hii inasema kuwa bwana mrema amemhakikishia lowasa kupata nafasi kwenye chama na kwamba chama chake kitamuunga mkono kwa nguvu zote! Tutegemee habari nyingine kuibuka