low density plot for sale

low density plot for sale

normal

Member
Joined
Nov 6, 2007
Posts
8
Reaction score
1
Nauza plot,iko surveyed na ina hati miliki,ni low density plot size yake sqrmeter 2480,IKO maeneo ya tabata! kwa anaehitaji ani inbox au mawasiliano number 0782261294
 
Ungeweka na bei tu, wabongo wanapenda kujipoma mapemaaa kabla ya kuanza mawasiliano zaidi.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
JF senior! bei ni nzuri tu,na bei huwa inakuwa negotiation
baina ya muuzaji na mnunuzi-hivo kwa anaehitaji ni vema
tukawasiliana kwenye number hiyo.

Ahsante!
 
mimi nilishajijengea Dhana Moja. kama mtu anauza kitu kwa bei nzuri lazima ataweka bei ili ku atract prospective customers, Lakini kama bei ni kubwa muuzaji hatoiweka kwasababu watu wataogopa kupiga simu.

sijui kama nimeeleweka
 
Mlachake!,hiyo dhana sio mbaya maana ni mtazamo wako!
Ngoja na mimi niendelee na utaratibu wangu!

shukrani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom