UK10.. Kuwa na furaha pia. Marry alimpeleka sehemu mbalimbali Michael za jiji pamoja na baadh ya vijiji vyake ili aone kama ataweza kutambua kwao. Lakn hakuna chochote alichoonyesha kama ni eneo analolitambua. Ndipo marry alipatwa na shauku ya kujua zaid kuwa, michael alikuwa anatokea sehemu gani na kwann alikuwa katika hali ile ya mawazo na kukimbia ovyo mpaka kusababisha wao wamgonge na gari. Siku iliyofuata alikwenda nae beach. Huko beach michael alionekana mwenye huna pia na furaha. Marry aligundua kuwa eneo kama zile inaonekana michael aliwahi kwenda ndio maana anaonekana mwenye furaha pia hapo hapo ana huzuni. Ilikuwa ni nafasi kwa marry kujua ni yapi yaliyomkuta. Hivyo alimliwaza kwa kucheza nae baharin na hatimae wakaenda kunywa vinywaji. Ndipo marry alianzisha mazungumzo. Walipoongea kwa muda mrefu, ndipo marry alipoamua kumuuliza kwa ustarabu matatizo yaliyomkuta. Michael aliamua kumuhadithia kwa kuwa alimuamin sana na kumuona n muaminifu. Michael alianza kumsimulia haya.. END OF CHAPTER ONE.