Dah pole sana mkuu!!
ILa kama ameweza kukusaliti kabla wewe hujamsaliti uyo mwanamke ni ana uwezo wa ziada !!
Ukimuoa ndo apo sasaa utakapo cheza ngoma za kikwere
Mara nyingi wanawake wanakua wasaliti kwa kulipiza kisasi !! Sas kama ni vice versa!! Basi eiza anauwezo binafsi au humkuni vizuri
PERIOD
kama mwenzako hayupo tayari au hataki mapenzi yenu there is nothing you can do unless kama usaliti wake ulisababishwa na action zako hapo ndio unaweza kubadilika.